TAZAMA PICHA ZA SIMBA ALIE SUMBUA NA KUUWA MIFUGO MJINI MOROGORO BAADA YA KUULIWA

Kwa kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri
kwa kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na
Askari wanyamapri.
Simba huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani humo maaskari
Wanyamapori Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna
mbuzi 47 katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole,
Tarafa ya Mkuyuni Mkoani humo.




Askari wanyamapori Wakimchuna ngozi simba

Picha na Lusajo Mwakibinga FB

Picha na Lusajo Mwakibinga FB








0 comments: