GARI INAUZWA SUZUKI SWIFT. 1.3


Kwa mawasiliano zaidi 0713655147

0 comments:

M23 WATANGAZA KUSITISHA MAPIGANO,MAJESHI YA MUNUSCO YASEMA WAWEKE SILAHA CHINI

m23_2fb74.jpg
Kundi la waasi wa M23 katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa linasimamisha mapigano mara moja, kuruhusu uchunguzi juu ya makombora yaliyovuka mpaka na kuanguka katika nchi jirani ya Rwanda.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lambert Mende, ameiambia DW mjini Kinshasa kuwa serikali ya nchi hiyo haijashangazwa na hatua hiyo ya M23, lakini akasisitiza kuwa wanachotaka wao ni kuona waasi hao wakiweka silaha chini, kama wanavyotakiwa na jumuiya ya kimataifa na pia serikali ya Kongo.(P.T)
Jana, Rwanda ililishutumu jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kile ilichokiita uchokozi wa makusudi, baada ya kombora linaloaminika kutoka upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanguka nchini Rwanda, na kumuuwa mwanamke mmoja na kumjeruhi vibaya mtoto wake mchanga.
Serikali ya Kongo ilizikanusha mara moja tuhuma hizo, ikisema zilikuwa zikiashiria azma ya Rwanda kujiingiza waziwazi katika vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
Kikomo cha uvumilivu
Kufuatia kifo cha mwanamke huyo katika mji wa Rubavu kaskazini magharibi mwa Rwanda, wizara ya mambo ya nje ya Rwanda ilitoa tangazo ambalo limesema nchi hiyo inao uwezo wa kujua yalikotoka mashambulizi dhidi yake, na kuonya kuwa haitasita kulinda eneo lake na kuwatetea wananchi wake.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo, amesema katika kipindi cha mwezi mmoja, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limerusha mabomu yapatayo 34 ndani ya Rwanda. ''Tumejizuia tuwezavyo kuchukuwa hatua, lakini sasa hatuwezi kuendelea kuvumilia uchokozi huu.'' Amesema Bi Mushikiwabo.
Kongo yasema ni kisingizio
Akijibu tuhuma kutoka Rwanda kuwa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndilo linalorusha mabomu yanayoanguka nchini Rwanda, Waziri Mende amesema tuhuma hizo zinalenga kuhalalisha kujiingiza tena katika mikoa ya Kivu. ''Inachoazimia Rwanda ni kusababisha vurugu isiyokwisha ili iweze kuendelea kupora mali katika mikoa ya kivu, kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa miaka 15 iliyopita,'' alisema Mende.
Wakati huo huo, Umoja wa Mataifa ulisema jana kwamba unazo ''ripoti za kuaminika'' za kuaminika, ambazo zinaonyesha kuwa wanajeshi wa Rwanda wameingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Rwanda kuwasaidia waasi wa M23, katika vita linayopigana dhidi ya jeshi la Kongo na wanajeshi wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO.
Aidha, afisa wa ngazi ya juu wa MONUSCO, Ray Vilgilio Torres amesema vikosi vyao vimepata uhakika kuwa bomu lililomuuwa mwanamke nchini Rwanda, lilirushwa na waasi wa M23, kutoka ngome yao ya msitari wa mbele ya Kibati.

0 comments:

PICHA ZA UZINDUZI WA "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL

 
kajala na wema
 
 
 
 
 
MSANII wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi la uzinduzi wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Foolish Age .

 Baada ya move hiyo kali ya dakika 120 iliyooesha ukali wa staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha zingine 100 kusubiri wateja kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani kujitambulisha na kutoa shukrani kwa wamepenzi wa tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa muitikio wao alipanda na kuimba wimbo huo wa Yahaya.

Akianzia kuimba kiitikio cha wimbo huo akiwa Back Stage, Lulu aliwashangaza watu pale alipomudu vyema wimbo huo kiasi cha mashabiki ‘Mapedeshee’ wakiongozwa na Pedeshee Rich Rich, kupanda jukwaani na kumtunza fedha kibao ambazo hakika zilimpagawisha msanii huyo na mwisho wa wimbo huo alisema mziki unalipa.

Tukio la uzinduzi huo lilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa tasnia mbalimbali hapa Bongo, wakiwemo; Judith Wambura 'Lady Jaydee', ambaye alitumbuiza sambamba na Barnaba na Amini.
 Wasanii mbalimbali walihudhuria show hiyo usiku huu pale Mlimani City

 Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.

 Wadau walifuatilia burudani...
 Jide akikamua jukwaani...

 Mama na mwanao ni kama chanda na Pete... huyo ni Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
 .... Walitunzana tu kivyao vyao...
 noti alizo tuzwa
 Rich Rich akimwaga noti
 Wadau wakifuatilia uzinduzi huo wa Filamu.
 Furaha ilitawala
 Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
 Waongoza Shughuli hiyo watangazaji wa Redio na TV Double G na mwana dada kutoka Times FM walikuwepo.

0 comments:

0 comments:

MSANII MANEKI SANGA AKAMATWA NA POLISI

PICHA 40 ZA UCHAFU WA MSANII HUYU WA BONGO NA MADEMU TOFAUTI,PICHA 4 AKIVALISHWA PINGU KWENDA LUPANGO USIKU ,




















Pacha wa Lulu Diana Kimario " Mikogo" huyu







Huyu bint inasemekana ni mwanafunzi wa chuo ambae ni raia wa Kenya anaesoma nchini pia ilidaiwa ni mtoto wa Waziri mmoha nchini humo



Huyu nae amewahi kupangiwa chumba na Manaiki maeneo ya Sinza na wakaishi zaidi ya mwaka mmoja kama mume na mke!

Msichana ambae inasemekana aliwahi kunusurika kunywa sumu kwa ajili ya penzi la Manaiki mmh.









Ushahidi hadharani na sijui kama walikuwa wanaigiza kweli? na kama walikuwa wanaigiza ni filamu gani ya utupu?


Irine Kanka Miss Temeke mwaka juzi akiwa kwenye himaya ya Manaiki kama wanavyoonekana sijui walikuwa wanaigiza au laa!

Huyu mwingine hakufahamika jina lakini nae kesha pitiwa na Manaiki.




Msanii Skaina ambae inadaiwa amewahi kuishi kinyumba na Manaiki kabla ya kuolewa na kuachika tena!

Mrembo wa Facebook na Manaiki

Msanii chipukizi kwenye kiwanda cha filamu Bongo aliyefahamika kwa jina la Suzy akichezea mdudu.....

Mmh haya yetu macho sisi.

Manaiki na Dida wakifurahia maisha

Huyu nae hakufahamika jina lake mara moja lakini yuo kwenye mnyororo wa Manaiki.

Mrembo ambae sio staa aliyejulikana kwa jina la Zachia akiwa chumbani muda mfupi baada ya kuduu na Manaiki.

Msanii Skaina katikati ambae nae amingizwa kwenye orodha ya wachumba wa Manaiki Sanga.


Msanii Manaiki Sanga akiwa na mwanamuziki maarufu toka Zanzibar Dida wakila bata za ufukweni kama wanavyoonekana!


Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti pendwa.

Gazeti hili katika upekenyuaji wake limenasa picha hizi kwenye mtandao mmoja maarufu wa kijamii ukimuonesha Manaiki akiwa kwenye kibano kikali cha polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.

Habari za uhakika  zinasema kuwa msanii huyo aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa, Love Position, Last Coin na Sory my Soni alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.

Aidha picha zaidi za tukio hilo la kukamatwa kwa Manaiki na haikufahamika kama alikamatwa kwa kosa jingine tofauti na kosa la kudhalilisha wanawake ambapo hali hiyo iliwalazimu waandishi wetu kufatilia kwa ukaribu tukio hilo la kukamtwa kwa msanii huyo aliyejitapia usataa kwa matukio ya picha za uchi .

Timu ya waandishi wetu ilifika kituo cha Polisi Buguruni kwa ajili ya kufahamu kama msanii huyo alikuwa ameswekwa kituoni hapo lakini kwa bahati mbaya hakuwepo. Ambapo gari la mapapalazi weti ilielekezwa kituo cha Polisi Oysterbay kwa ajili ya kuonana na RPC wa Kanda ya Kinondoni Wambura lakini pia kwa bahati mbaya mara baada ya kufika ofisini kwake sekritali wake alisema kamanda hakuwepo kwa muda huo.


Alipotafutwa msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani ili kujuwa nini kilimsibu lakini hakuweza kupatikana kwani simu yake ilikuwa haipatikani kabisa licha kupigwa zaidi ya mara sita.

Aidha kukamatwa kwa Manaiki kumeleta tafsiri tofauti kuwa huenda Rais wa Miss Utalii Tanzania Gidion Chipungahelo anahusika kufuatia kauri yake aliyoitoa kwenye la Kiu la wiki iliyopita kuwa lazima ataanza kumshughulikia Manaiki ili iwe fundisho kwa wale wote wanaosubiri kuwafanyia skendo chafu warembo wake. Hata hivyo licha waandishi wetu kufatilia habari hiyo karibu siku nzima lakini hapakuwa na taarifa sahihi za wapi alipo Manaiki na kituo gani cha Polisi alichoswekwa ambapo  juhudi nyingine za kufika nyumbani kwa msanii huyo na baadae tutawaletea taarifa kamili. 

WAZAZI WATOA KAURI NZITO: 
Baada ya wiki iliyopita tumepokea maoni mbalimbali ya wananchi hasa wazazi wenye uchungu na wa watoto wao na walifunguka mengi sana fuatilia ujue kauri zao.

Mama Amina wa Mbezi Beach alisema “ Jamani hivi huyo msanii ana wazazi kweli? Hapana binafsi siamini kama anao kwani udhalilishaji anaoufanya kwa watoto wa watu kama angekuwa na wazazi hakika wangemkanya na angeachana na huo upuuzi nasema hii haikubariki kabisa tunamuomba Kamanda Kova amshughulikie kijana huyo ili iwe fundisho kwa wengine” Alisema mama huyo kwa uchungu

Nae Mama Mud wa Sinza Jijini Dar alifunguka hivi “ Unajua huyu Manaiki mimi ni mmoja wa mashabiki wake kwenye muziki wa bongo flava sasa nashindwa kuelewa kwa nini amejidhalilisha kwa picha chafu kama hizo? Sio bure mi nadhani anahitaji ushauri nasahaa kwani huenda sio akili yake haki ya Mungu” Alisema

Aidha nae msanii mkongwe wa tasinia ya filamu nchini Mzee Magali alitoa ushauri kwa Manaiki na kusema“ Huyu motto ana kipaji kizuri sana kwenye kuimba kuigiza sasa ni nini kinachomfanya ajidhalilishe kiasi hiki dar kweli imeuma sana kuona kijana wangu anavyopotea, Kwani sasa hivi tunahitaji kudhalisha akina mzee Chilo wapya. Akina mzee Magali wapya sasa kwa mtindo huu hakika hawa vijana hawatofika mbali na sanaa” Alisema sema kwa uchungu

Aidha nae Hemed Kavu meneja wa Club Maisha ya Dar alikuwa na haya “ Mimi nimepiga simu hapo kuwaeleza kuwa nimesikitishwa sana na tabia ya Manaiki ambapo kwenye hizo picha pia yupo mpwa wangu ambae anasema alishawishiwa na Manaiki kupiga hizo picha hivyo kama familia tutakaa chini kuangalia namna ya kumshitaki ili amradi ushahidi toka kwa muhusika upo kuwa kulikuwa na ushawishwaji wakati wa kupiga picha hizo toka kwa Manaiki ambae alimrubuni kumpa laki mbili akishapiga picha hizo” Alisema Hk

Nae mwalimu wa wasanii wengi nchini n director wa filamu Tanzania aliyejitambulisha kwa jina moja la Bakari alilonga “ Hapo mimi ninachokiona hao wote wana makosa kwani hapo hakuna mtoto mdogo hao mabint nao viherehere vyao viliwaponza hivyo kama Manaiki alifanya kwa kuwafunga kamba hapo sawa ana haki ya kuhukumiwa jamani lakini hao wanawake walijitakia wenyewe basi walaumiwe wote” Alisema

0 comments: